Monday, September 19, 2011

Sending and receiving SMS via computer

Mobile phone operators in collaboration with internet providers can make it possible for someone to send and receive SMS via computer. Than making it possible for someone to type and store data easily on the computer as well as verifying it before sending it to projected recipients. This can increase income to both operators.

Wednesday, June 8, 2011

Uunganishaji na Utengenezaji Pikipiki nchini

PIKIPIKI hivi sasa imekuwa ni chombo cha kutegemewa katika usafiri wa abiria Tanzania. Hakuna utakapofika usikute stendi ya pikipiki.
Hali hii imesababishwa na wingi wa magari na jamu zinazoandamana nazo mijini, barabara mbovu sehemu kadhaa nchini na unafuu wa gharama kwa pikipiki kama chombo cha usafiri.

Pikipiki nyingi zinatoka China na ubora wake hauridhishi. IPO HAJA YA WATANZANIA WALIOKO NJE NA WENYE UWEZO kuja pamoja na kutafuta mtengenezaji pikipiki atakayekuja kuwekeza nchini.

Sasa ni ruksa yeye kuagiza viungo vyote vya pikipiki toka nje na akaziunganisha hapa hapa nchini na kuna mafundi wa kutosha kufanya kazi hiyo na kwa gharama nafuu. Kulingana na bei na ubora wa pikipiki atakazozalisha soko lote linaweza kuwa lake.



Facilitation ?
Contact::
ni.mailla@gmail.com

Tuesday, June 7, 2011

LOOKING for new ideas and thoughts

THIS blogs carry a number of good business ideas but unfortunately all of them are in Tanzania's lingua franca-Kiswahili language.
We constantly survey the Tanzanian situation and come up with ideas that can solve social, economic and general development problems or utilize existing and emerging opportunities.

We are a community initiative and are driven by the urge to see our country climbing the ladders of development from a least developed country into a middle-class economy.

KIndly, find someone who speaks Kiswahili nearby and ask him to translate the ideas for you or write to us using the contacts below:

E-mail:
ni.makilla@gmail.com

Cellular/SMS only:
+255714265218

LOOKING for new ideas and thoughts that can work in the 21st Century-this is one of the places you can definitely find them.

UNATAFUTA WAZO AU ENEO LA KUWEKEZA TANZANIA ?

UNATAFUTA mawazo mapya kwa ajili ya shughuli za kiuchumi, kibiashara, kijamii, kisiasa na kimaendeleo endelevu kwa ujumla hapa ndipo pahala pake. Umefika. Karibu.

FACILITATING THE REALIZATION OF TANZANIA'S NEW 5 YEAR STRATEGIC PLAN 2011-2016